<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><title>Po Pote Mashamba Yajaa TZR66</title>
<lyrics>[V1]
 Po pote mashamba yajaa,
 Tele nafaka pevu,
 Po pote yang'aa meupe
 Bondeni na nyandani.

[V2]
 Mwenye mavuno, wasihi
 Upeleke wavuni,
 Wakusanye mazao,
 Hata kazi iishe.

[V3]
 Wapeleke uchaoni,
 Waende na jotoni,
 Mpaka jua lishukapo
 Wakusanye ko kote.

[V4]
 Watenda kazi wa Bwana,
 Mlete sasa mazao,
 Na jioni ingieni
 Kwake na furaha kuu.</lyrics>
<hymn_number>66</hymn_number>
</song>